Uchaguzi wa viongozi
By katibu | November 29, 2011
Ndugu wanakamati,
Ninawajulisheni kuwa tutakuwa na uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wa NEU , January15,2012 Nafasi ya Mwenyekiti, Katibu,na Muweka hazina zipo wazi kama Upo tayari kuchukuwa nafasi yoyoye ile katika hizo nijuulishe tafadhali.Au kama una maelezo yoyote nijuulishe.tafadhali usipoteze haki yako
Topics: Welcome To N.E.U | No Comments »
Matokeo Ya Uchaguzi Tanzania 2010
By webmaster | November 9, 2010
Topics: Welcome To N.E.U | No Comments »
Deval Patrick
By katibu | October 20, 2010
Ndugu Watanzania,
Ninawaandikia kuwajulisha, kuwaomba na kuwahamasisha mjitokeze katika uchaguzi huu wa Gavana hapa Massachusetts.
Namuunga mkono Gavana Deval Patrick.Mambo yaliyonigusa mimi kufanya nimuunge mkono Gov Patrick ni mengi,kubwa la muhimu ni kuondoa sheria ya kibaguzi iliowekwa na aliyekuwa Gavana Mitt Romney iliyowarusu polisi kuulizia maswala ya uhamiaji.Pia Gov Patrick ameweza kuboresha elimu na huduma za afya jimboni na kufanya jimbo la Massachusets kuwa la kwanza nchi nzima. Isitoshe gavana amekuwa mstari wa mbele katika kuongeza kazi mpya.
Kamati ya Deval Patrick pamoja na Governor’s African Council (GAC), chombo cha kijamii kinachojitegemea chenye nia ya kuimarisha sauti ya Waafrika katika jimbo la Massachussetts kwa kupitia ushiriki katika siasa na mambo ya elimu ya uraia, watakuwepo Springfield kuwahamasisha waafrika wajitokeze kumsaidia Gavana Deval Patrick.
Time:10:00 am
Where:Springfield Regional Campaign Office
34 Hampden Street, Springfield, MA 01151
(413) 737-2010
Ningependa Watanzania tujitokeze kwa wingi.
Kwa habari zaidi kuhusu mafanikio ya Gavana Deval Patrick soma bofya hapo chini.
http://devalpatrick.com/accomplishments_brief.pdf
Karibuni tushiriki pamoja na kujadiliana.
Topics: Welcome To N.E.U | No Comments »
Annual Soka & Culture Events July, 2010
By webmaster | February 21, 2010
Discussion about our 9th annual “Soka Events” July 4th weekend this year
Topics: Welcome To N.E.U | 1 Comment »
Fundraiser Events
By webmaster | September 22, 2009
How can we organize our fundraisers. Members of our community are encouraged to discuss how our organization can manage and help itself by raising funds from our fundraising events.
Topics: Raising Funds, Soka Bash | 1 Comment »
Welcome To N.E.U Blog
By webmaster | September 6, 2009
New England Umoja Foundation, Inc. welcomes our community members blog to post and discuss topics that will help others in our daily basis life activities throughout on our community.
Topics: Welcome To N.E.U | 2 Comments »